WAZIRI MWIGULU ALITOLEA UFAFANUZI SUALA LA TOZO

Na Barnabas Kisengi-Dodoma Waziri wa Fedha na Mipango Dkt Mwigulu Nchemba amesema  suala la kodi ya tozo halita hairishwa kwani zoezi hilo limekuja kuunganisha nguvu kutekeleza mahitaji ya lazima ambayo yalikuwa pengine yanakosa bajeti. Pia Serikali imewataka wananchi kuwa watulivu juu ya suala la tozo huku ikiwawashukuru wananchi hao kwa kutoa maoni yao  ya suala